Mapfa A JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 250 Reaction score 259 May 7, 2015 #1 Samahani wakuu. Nilikuwa nahitaji msaada .hv kama uliomba loan kwa mara ya kwanza ukakosa na kuappeal vlevle je ukitaks kuomba kwa mwaka wa pili je inawezekana kuomba kama New candidate(Applicant). Naomba msaada hapo ndugu.
Samahani wakuu. Nilikuwa nahitaji msaada .hv kama uliomba loan kwa mara ya kwanza ukakosa na kuappeal vlevle je ukitaks kuomba kwa mwaka wa pili je inawezekana kuomba kama New candidate(Applicant). Naomba msaada hapo ndugu.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 May 7, 2015 #2 Inawezekana though sababu zile zile zilizokukosesha kwa mara ya kwanza na kwenye rufaa zitakukosesha vile vile Umesoma vizuri vigezo vyote vya mtu kusecure loan?Je unadhani ni sababu gani zilizokufanya ukakosa? Karibu
Inawezekana though sababu zile zile zilizokukosesha kwa mara ya kwanza na kwenye rufaa zitakukosesha vile vile Umesoma vizuri vigezo vyote vya mtu kusecure loan?Je unadhani ni sababu gani zilizokufanya ukakosa? Karibu
Mapfa A JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 250 Reaction score 259 May 7, 2015 Thread starter #3 Vigezo vyote nnavyo coz nmesoma serkali mwanzo mwsho. pia wazazi hawana uwezo labda nlichokosea ni kusomq coz ya Non -priority. Bsc AF. ARU
Vigezo vyote nnavyo coz nmesoma serkali mwanzo mwsho. pia wazazi hawana uwezo labda nlichokosea ni kusomq coz ya Non -priority. Bsc AF. ARU