Heslb:hatimaye bodi yatoa majina mengine

Heslb:hatimaye bodi yatoa majina mengine

Status
Not open for further replies.
kama nilivyosema jana serekali imezoea kuona watu wakidai haki zao ndiyo wapewe, kugoma kwa udsm ndo kunawakumbusha mahitaji ya wanafunzi.aibu sana
 
zima moto tuuuu hiyo.......wanafunzi walio kosa mkopo ni zaidi ya 18000 then wanawapa 1470 tuuu. MAPAMBANO YANAENDELEA
 
Bado hawajaushawishi umma wa watanzania,kwanza most ya hao wote ni sayans na education,hao wa kozi zingne itakuaje wao,harakati stl znaendelea,hakuna kurudi nyuma hadi kieleweke.
 
Hiyo pooza maji yao haimdanganyi mtu,ile mijibomu yao waliopiga wanafunzi wanaitia hasara Tanzania yetu kwa kutumia gharama kubwa kwenye mambo ambayo hayaleti maisha bora mfano kwenda kununua mibomu na hizo nguo za chuma wakijua kabisa watatufanyia ubabe tu.HIZO PESA WANAZOPOTEZA KUTULIZIA GHASIA ZINGESAIDIA MAMBO MANGAPI?.TUNAHITAJI UONGOZI MPYA UNAOHESHIMU HAKI ZA BINADAMU NA UNAO TAMBUA WAJIBU WAKE UONGOZI.OVER.
 
Serekali ya CCM bila mgomo haiwezekani mkigoma tena wataongeza 3000 then mgomo mwingine 1500 mpaka wote mtapewa so mgomo lazima na chupa ya maji mkononi mpaka waishiwe mabomu.
 
Kweli hela za mabomu magari ya maji ya kuwasha nguo zao za kininja hela za kwenda field hela za mafuta zingeweza kutatua matatizzo ya wananchi hasikudanganye mtu kwamba taznia maskini uwongo mtupu mpeni dr slaa muone utajiri wa nchi utakavyowanufaisha wtz.
 
kwa anayeweza ayaweke hayo majina hapa kwa sababu heslb website haifunguki.
 
Serekali ya CCM bila mgomo haiwezekani mkigoma tena wataongeza 3000 then mgomo mwingine 1500 mpaka wote mtapewa so mgomo lazima na chupa ya maji mkononi mpaka waishiwe mabomu.

heheheee. Uliposema 'chupa ya maji mkononi umenikumbusha mbali, siku ile chupa yangu ya maji ilinisaidia sana. Walipopiga mabomu yao nililowanisha kitambaa changu, nikajifuta machozi yakaisha. Hayo mabomu fake tu, wala hayana effect. Mpaka kieleweke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom