HESLB hawashirikishi ubongo.

HESLB hawashirikishi ubongo.

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Wadau wa jf nimetoka heslb katika kufuatilia mkopo,walichokisema ni kwamba wale waliokosea kujaza form zao na ni priority kozi ndio watakao angaliwa. Tukamuuliza walioandikiwa eligible but budget exhausted na wale not eligible completed three or more yeas back japo wangine sio kweli, wamesema hao hawatafanyiwa kazl(no loan). Ninawasiwasi kwamba loan bodi wameidanganya serikali kwa kuwaambia waliokosa mkopo form zao zilikuwa na matatizo wakaacha sababu nyingine nyingi. Wanadai kwamba hao waliokwenye list(waliokosea) ndio serikali imewambia wawashughulikie wengine no loan at all, hata kama uliambiwa budget imeisha. Kama serikali ndio imeamua hivyo kuna kila sababu ya waziri mwenye dhamana kuwajibishwa, kwa sababu kawaacha watu ambao wana haki na form hazikukosewa kawachukua watu ambao huenda hata vigezo vingine vya kupokea mkopo hawana( watu wao na labda wenye bahati zao). Mfano kuna watu wamechaguliwa Priority kozi lakini majina hayapo kwa ile orodha na wameambiwa hawatapata mkopo,wafanye nini jamani?. Harakati zimeanza tena upya,tunaelekea tena wizarani kuuliza kwa nini wamewaagiza bodi kuwashughulikia waliokosea form na si wale wenye vigezo vya kupata mkopo bila kuangalia alikosea au hajakosea, ni priority au ni non. Wahanga wengine mtuunge mkono,serikali uwezo inao wa kutupatia mkopo wanafunzi wote vyuo vikuu ila wanaendekeza sana umimi( Wachache wanakula na kufaidi nchi) masikini tunasubiri kipindi cha uchaguzi tuwachague tena waendelee kutunyanyasa. Niulize, hivi haiwezekani kuwatoa hawa jamaa madarakani au wananchi wote tunafurahishwa na wanachokifanya?
 
Pole sana kijana,najua umuhimu wa mkopo.
Komaeni sana,tatizo vijana siku hizi mmekua nyanya kweli hamtaki kupigania haki.
Komaeni bana,
 
Mim mwenyewe nilikuwepo pale,,,,eti aliyekosea kujaza form ndiye mwenye haki,,,wale ambao wengine ambao tuliandikiwa budget ndogo,,atuna haki,,hii nchi ni noma aisee,,,tuungane bwana,,twendeni tena kwa waziri mwenye dhamana,,,kesho tukutane pale loan bodi kwenda wizarani ,,kesho jamani.
 
japokuwa nimepata mkopo na nimeshaanza masomo bado nitakuwa na nyie bega kwa bega.!tukutane heslb kesho
 
Mim mwenyewe nilikuwepo pale,,,,eti aliyekosea kujaza form ndiye mwenye haki,,,wale ambao wengine ambao tuliandikiwa budget ndogo,,atuna haki,,hii nchi ni noma aisee,,,tuungane bwana,,twendeni tena kwa waziri mwenye dhamana,,,kesho tukutane pale loan bodi kwenda wizarani ,,kesho jamani.

tumeshaenda wizarani hatukungoja. Tumeambiwa swala hilo watalishughulikia jtatu watatupa majibu. Ila pia kesho tumepanga kwenda loan bodi kuwahimiza juu ya hilo. Jibu la wizarani lilitupa matumaini kwa sababu alimpigia Mkurugenzi wa bodi, pia alisema watawakopesha 1107 kwa kuanza na Madaktari, Engineers etc kwa ile orodha yao, so wanashangaa heslb kutoa majina 1121. WITO WANGU NI KWAMBA WOTE AMBAO HATUPO KWENYE ILE ORODHA TUKUTANE HESLB SAA 0800.
 
Hiyo orodha ya majina imebandikwa ?au ni ya kisirisiri?manake ktk web yao siioni....
 
tumeshaenda wizarani hatukungoja. Tumeambiwa swala hilo watalishughulikia jtatu watatupa majibu. Ila pia kesho tumepanga kwenda loan bodi kuwahimiza juu ya hilo. Jibu la wizarani lilitupa matumaini kwa sababu alimpigia Mkurugenzi wa bodi, pia alisema watawakopesha 1107 kwa kuanza na Madaktari, Engineers etc kwa ile orodha yao, so wanashangaa heslb kutoa majina 1121. WITO WANGU NI KWAMBA WOTE AMBAO HATUPO KWENYE ILE ORODHA TUKUTANE HESLB SAA 0800.
,sory 08 meanz saa nane mchana au saa mbil asubuh?
 
Wadau wa jf nimetoka heslb katika kufuatilia mkopo,walichokisema ni kwamba wale waliokosea kujaza form zao na ni priority kozi ndio watakao angaliwa. Tukamuuliza walioandikiwa eligible but budget exhausted na wale not eligible completed three or more yeas back japo wangine sio kweli, wamesema hao hawatafanyiwa kazl(no loan). Ninawasiwasi kwamba loan bodi wameidanganya serikali kwa kuwaambia waliokosa mkopo form zao zilikuwa na matatizo wakaacha sababu nyingine nyingi. Wanadai kwamba hao waliokwenye list(waliokosea) ndio serikali imewambia wawashughulikie wengine no loan at all, hata kama uliambiwa budget imeisha. Kama serikali ndio imeamua hivyo kuna kila sababu ya waziri mwenye dhamana kuwajibishwa, kwa sababu kawaacha watu ambao wana haki na form hazikukosewa kawachukua watu ambao huenda hata vigezo vingine vya kupokea mkopo hawana( watu wao na labda wenye bahati zao). Mfano kuna watu wamechaguliwa Priority kozi lakini majina hayapo kwa ile orodha na wameambiwa hawatapata mkopo,wafanye nini jamani?. Harakati zimeanza tena upya,tunaelekea tena wizarani kuuliza kwa nini wamewaagiza bodi kuwashughulikia waliokosea form na si wale wenye vigezo vya kupata mkopo bila kuangalia alikosea au hajakosea, ni priority au ni non. Wahanga wengine mtuunge mkono,serikali uwezo inao wa kutupatia mkopo wanafunzi wote vyuo vikuu ila wanaendekeza sana umimi( Wachache wanakula na kufaidi nchi) masikini tunasubiri kipindi cha uchaguzi tuwachague tena waendelee kutunyanyasa. Niulize, hivi haiwezekani kuwatoa hawa jamaa madarakani au wananchi wote tunafurahishwa na wanachokifanya?

Kuweni makini sana wadau mnapotoa hoja hasa za ishu kama hii,nina maana kwamba iwapo umefungua jamii forum ukatumia email add.hiyo ambayo umetumia heselb ni moja,ni rahs hawa jamaa kukufatilia then ukashangaa unakosa mkopo huku una kila kigezo.ni ushauri tu. "Heading kaka itakumaliza".
 
hamna ki2 ka hiyo ww

husibishe bila kufatilia,na kumtukana mtu moja kwa moja ni hatari,na suala la movement wangu sio rahc kama unavyolifkilia wewe,jaribu kutafuta watu 32,walioonana na mh.magret ktk kikao cha kamati ya maendleo ya jamii wawapeni mbinu na njia walizopitia,wiki nne watu wako barabarani mpaka WIZARA na bodi kukubali kukaa mezani,WALE WATU 32, Ni nouumaaaaa!!!
 
kwani kupata mkopo ni Lazima? sio kila anayeomba mkopo ni lazima apate.. ndio maana ulikubali na kutik vile vbox viwili wakati unaomba vyuo...
 
Back
Top Bottom