KERO HESLB hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati

KERO HESLB hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    heslb
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Shida kama haikupati hutaona ukubwa wake.

Loan board hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati.

Wazazi wakishaona tumepata mkopo unakuwa umewatua mzigo na wanajitoa kwenye kukupatia fedha za kujikimu.

Loarn boad wanatuumiza Sana. Wanapopitiliza Sana mda wa kutupatia fedha za kujikimu.

Kawaida Huwa tunapewa fedha mwanzoni na katikati ya mhula wa masomo.

Mwanzoni walifanya hivi hivi tumefika chuo zaidi ya wiki 3 masomo yanaendelea unakuwa hata huelewi darasani.

Lakini Sasa ndo wametia fora wamefanya disbursement tarehe 10 hadi 19 kwa vyuo vya kati ambapo inatakiwa kuchukua siku kumi fedha zitolewe lakini zimefika hizo siku kumi na kupitiliza hawatoi fedha.

Kama lengo ni kusaidia wanavyofanya wanaumiza hawasaidii sababu nyumbani hupewi, wao hawakupi unabaki unateseka kama mtu asiye na wazazi Wala taifa linalomjali.

Fichua huu uovu jamani tunateseka
 
Back
Top Bottom