HESLB Haya Ni Mateso Kwetu Tuliopo Vijijini!

HESLB Haya Ni Mateso Kwetu Tuliopo Vijijini!

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Tangu ijumaa nakuja mjini kujaza fomu za maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao, nalipa sh.2000 kwa saa kenye huduma za internet, bada ya kujaza taarifa zangu kwa usahihi kabisa nimeshindwa ku-Print hizo taarifa kwani ninachokiona ni hiki hapa chini:
mssss.JPG
Hadi naandika uzi huu watu kama 6 hivi tulipatwa na tatizo hili la kuchapisha fomu zetu. Tukipiga simu yenu haipokelewi, tufanyeje sasa kama si uonevu huu?
 
pole ndugu nashukuru mim nifanikiwa jana baada ya kusota kwa takriban wiki nzima,nakushaur usikate tamaa
 
pole ndugu nashukuru mim nifanikiwa jana baada ya kusota kwa takriban wiki nzima,nakushaur usikate tamaa

asante kwa kunitia moyo! Ulikuwa unatatizo kama hili la kwangu?
 
asante kwa kunitia moyo! Ulikuwa unatatizo kama hili la kwangu?

Ndio ila tayar nimeshamaliza na hadi kopy nimeshaziacha posta jarib tena na tena ndugu Muda unaenda
 
upo tayari nikusaidie?kwakuwa nipo na access ya internet muda mwingi, ila sasa hata ikifanikiwa nitakutumiaje?Upo wapi?
 
jaribu kutafuta internet cAFE ILIYO NA WATAALAM WAZURI.

KWA TATIZO HILO INAONYESHA TAARIFA ULIZOZIJAZA KUNA BAADHI HAZIKO SAHIHI.

KUWA MAKINI KATIKA UJAZAJI WA TAARIFA ZAKO KWA KILA STEP.
 
jamaa wanazingia sana.mi nlishamaliza ilibaki ku print tuu.leo naenda ina andika incomplete yani guarantor nkifungua iko poa,niki edit problem bado.jamaa hawako makini bado.wanazingua sana tuu
 
upo tayari nikusaidie?kwakuwa nipo na access ya internet muda mwingi, ila sasa hata ikifanikiwa nitakutumiaje?Upo wapi?

Nipo mwanza, unaonaje nikutumie id yangu na password ninavyotumia ku-log in hesbl kama ikiwesekana nitumie softcopy kwenye emai yangu. Kama upo tayari naomba nikutumie pm.
 
jaribu kutafuta internet cAFE ILIYO NA WATAALAM WAZURI.

KWA TATIZO HILO INAONYESHA TAARIFA ULIZOZIJAZA KUNA BAADHI HAZIKO SAHIHI.

KUWA MAKINI KATIKA UJAZAJI WA TAARIFA ZAKO KWA KILA STEP.

mbona kila category ina tick ya kijani kuonyesha step zote zipo sahihi?
 
Samahan wadau kwa kuingilia UZI,

Tatizo nililopata kwenye HESLB ni kukosea uchaguz sahih pale kwenye self Registration, kipengele cha applicants category, badala ya kuchagua local undergraduate nikachagua Diploma
Nimejaribu kutafuta sehem ya kuEdit nimeikosa maana nilisha maliza kujaza mpaka kufikia kwenye kuprint..

Ntarekebishaje sehem hiyo

Asante.
 
Unapojaza kua makini usiwe na haraka, izo system ukikosea tu majina ndio matatizo yake, usikate tamaa
 
Back
Top Bottom