asante kwa kunitia moyo! Ulikuwa unatatizo kama hili la kwangu?
upo tayari nikusaidie?kwakuwa nipo na access ya internet muda mwingi, ila sasa hata ikifanikiwa nitakutumiaje?Upo wapi?
jaribu kutafuta internet cAFE ILIYO NA WATAALAM WAZURI.
KWA TATIZO HILO INAONYESHA TAARIFA ULIZOZIJAZA KUNA BAADHI HAZIKO SAHIHI.
KUWA MAKINI KATIKA UJAZAJI WA TAARIFA ZAKO KWA KILA STEP.
mbona kila category ina tick ya kijani kuonyesha step zote zipo sahihi?
Nipo mwanza, unaonaje nikutumie id yangu na password ninavyotumia ku-log in hesbl kama ikiwesekana nitumie softcopy kwenye emai yangu. Kama upo tayari naomba nikutumie pm.