heslb imerudisha fomu zenye makosa?(bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu)

heslb imerudisha fomu zenye makosa?(bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu)

Joined
Jun 25, 2013
Posts
65
Reaction score
11
ndugu naomba kujua kama kuna ukwel wowote kuhusiana na taarifa kuwa bodi zenye makosa zmerudshwa posta. Anayefahamu kuhusu hli anijuze
 
Mkuu híi habar nw inakaribia kma week mtaan! Bt kwenye website yao mbna hawajaandikaa! Wanatuchanganya mbna
 
Kila kitu mpaka ipite dead line ndo wanaanza mchakato,hiyo habari ni uzushi 100%.
 
na hta kma yametoka, inakuajee kwa walio jkt, mm nadhan maneno tu ya watu! Ila ngja tusubiri tuone
 
ndugu naomba kujua kama kuna ukwel wowote kuhusiana na taarifa kuwa bodi zenye makosa zmerudshwa posta. Anayefahamu kuhusu hli anijuze

Uzushi Mtuupu.. Leo nilikua bodi pale.. Aisee Mkurugenzi anasema hakuna fomu itatoka nje ya HESLB.. Kama Mdhamini wako hajatia Saini nenda nae mguu kwa mguu.. Walio Jkt Imekula kwao!!.. Hyo ndio nukuu niliyopata kwa visikio vyangu mwenyewe.. Leo watu walikua ni wengii.. So kama kuna m2 anamakosa aende pale mapemaa
 
Back
Top Bottom