doctor of philosophy
Member
- Jul 20, 2024
- 42
- 98
Bodi ya mkopo kuna changamoto katika mfumo wake wa maombi ya mkopo(OLAMS) haufunguki kabsa. Sasa sijui watu husika wameshaiona changamoto hii maana muda ni mali na deadline ikifika wanapita mulemule hawakumbuki kuwa changamoto hii imechelewesha wanafunzi kufanya application mapema.
Kutokana na ukubwa na umaridadi wa jukwaa letu hili la JamiiForums wahusika wataweza kupata habari na kuifanyia kazi kwa haraka iwezekanavyo ili wanafunzi waweze kumaliza process mapema.
Naomba kuwasilisha.
Pia soma:OLAMS, mfumo wa HESLB ni aibu tupu!