Kuna kipengele kimeongezwa kwenye preliminary information cha Unknown father na unknown mother, shida ni kuwa kila nikijaza taarifa hizo kwenye preliminary zinaoneka vyema ila nikienda kwenye PREVIEWS kipengele cha mwisho ili kudowload form still bado ni Unknown father Yes, kuna aliyekutana na hii changamoto na amejinasua VIP?