mama lubango
Member
- Aug 16, 2011
- 56
- 8

Hilo lisikuchanganye kabisa... ile mikopo naona wanatoa kwa njia ya listing of all wahusika na kuanza kuchagua kwa ku select jina kuruka lifuatalo... kuselect lingine kuruka lifuatalo and so on... For kama wangekua kweli wanatumia vigezo husika sidhani kama wale ambao wanahitaji more huo mkopo wangewekwa maybe grade 'C' hali mtu ambae ni wazi wana uwezo wa kujikimu na kujilipia ada saa ingine yupo grade 'A'... Hivo don't worry be happy.

moja ya cfa ya m2 ku2nukiwa mkopo ni kuangalia shule alizosoma mhusika frm primary 2 A level. Sasa kwa cc ambao 2mesoma shule lets say za matawi ya juu na kumbe behind ze scene 2likuwa 2nafadhiliwa & shule husika inakuwaje? c tutanyimwa bum ile hali cc ni mapeasant?! kwann bodi isizingatie tu data za kiuchumi za mzaz husika??! AU MI NIPO WRONG JAMAN????!
Pole... lakini mimi naona criteria hii ni nzuri kwa kiasi chake though inamapungufu.moja ya cfa ya m2 ku2nukiwa mkopo ni kuangalia shule alizosoma mhusika frm primary 2 A level. Sasa kwa cc ambao 2mesoma shule lets say za matawi ya juu na kumbe behind ze scene 2likuwa 2nafadhiliwa & shule husika inakuwaje? c tutanyimwa bum ile hali cc ni mapeasant?! kwann bodi isizingatie tu data za kiuchumi za mzaz husika??! AU MI NIPO WRONG JAMAN????!
acha uhuni katika uhandishi wako kwa ushakuwa mkubwa.moja ya cfa ya m2 ku2nukiwa mkopo ni kuangalia shule alizosoma mhusika frm primary 2 A level. Sasa kwa cc ambao 2mesoma shule lets say za matawi ya juu na kumbe behind ze scene 2likuwa 2nafadhiliwa & shule husika inakuwaje? c tutanyimwa bum ile hali cc ni mapeasant?! kwann bodi isizingatie tu data za kiuchumi za mzaz husika??! AU MI NIPO WRONG JAMAN????!
na hawa ccm wanaotumia makalio kufikiria inabidi waondoke kwanza ndio kitaelewekaPole... lakini mimi naona criteria hii ni nzuri kwa kiasi chake though inamapungufu.
Kwa system yetu ya elimu ilivyo.. asilimia kubwa ya privete schools wanalipa ada kubwa kuliko hata chuo!
Kama mtu aliweza kupata udhamini secondary school ambapo fees ni kubwa,, wanaasume pia ataendelea kupata udhamini huo chuo!

kama ulikuwa unafadhiliwa si utaendelea kufadhiliwa?

nitaendeleaje kufadhiliwa & shule ya secndry ile hal nipo chuo? je kama shule ilkuwa inanifadhl kwa interests zake bnafs & sasa sipo ktk shule yao wataendelea kunifadhl ili iweje? tumia logic japo kdogo