Acheni ngojera zenu hakuna anaejua siku wala saa hata bodi wenyewe hawajui ni lini watatoa majina jaribu kumuomba mungu ili uwemo.
we sio mzma trh 27 ndo nini?Habari zilizonifikia hv punde,majina batch ya kwanza wanayaachia tar 27
we sio mzma trh 27 ndo nini?
kama hata boxer utafanikiwa kununuangoja 2subir na nikizpat cha kwanza nafungua M-pesa
vigezo ni priority and non priority
sio lazima sana maana kuna wengine hukosa ingawa ana vigezo vyote.... Ikiwemo kozi husika anayoenda kusoma ni priority mf kuna jamaa yangu anachukua engineering course ila hapewi hata sent tano... O'level and advance zote alisoma goverment tokeo zuri tu alikuwa nalo.....
heslb wanatarajia. Ceteris peribus!
intellegensia kwani nawe unachombo cha ukachero? Majina yapelekwe trh 11 halafu 13 helsb wawe wamemaliza loan allocatn? Usiwawazishe madogo,ijumaa si mbali watakugeukia tu!
haiwezekani kuna vyuo vinawahi kufungua27 september 2013
Wanipe au wasinipe mkopo.budget imeshapangwa kwa siku sh 3000 za ktz
Source: Intelijensia.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14.
Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha majina ya wadahiliwa kwa heslb.
Majina hayo yatawasilishwa mapema wiki hii kabla ya tarehe 11.
Watarajiwa vuteni subira mambo mazuri yanakuja.
Angalizo: Vijana hamjawahi(wengi wenu) kumiliki kiasi kikubwa cha fedha kwa mara moja, tafadhali msipate ukichaa wa hela.
Nawatakia masomo mema!