HESLB Kutoka Jikoni kabisa

Asante kwa taarifa kumbuka kuacha kuvuta masogange..
 
vp kuhusu waliopata selection second round majina yalfika heslb kwel?yacjeyakawa majanga!!
swala la kupata majina hilo halina shaka kabisa kwani bodi na wao wanashare baadhi ya server za TCU pia systema haikuwa manual thus kila data ipo......all in all hata uwe round ya kumi kama tu umekidhi vigezo LOAN inakuhusu
 
uhakika wa kutoa ni lini?
mkuu watu wa Nacte tu ndio wanasuburiwa wengi wao data zao ilikuwa ngumu ku-match na system nzima ya loan distribution huku kukiwa hakuna confirmation kutoka TCU
 
Kwa taarifa yako huo mtandao wa hesl nini sijui mi ni kama walpaper yangu
 
Mimi nakupongeza kwa kuwareply wote waliokukashfu!!! Static mkaka no fear!!!
Ahsante!! ndio kazi yangu kama msomi tena wa ngazi ya degree......"to be educated means to combat challenges"
 
Mimi nakupongeza kwa kuwareply wote waliokukashfu!!! Static mkaka no fear!!!
mara nyingi vijana wa form six na first year wanashindwa kuelewa dhana halisi ya kuwa msomi n.b.kama mtu ameanzisha topic na unahisi ni uongo mpinge kwa hoja na sio kumkashifu.......any way thanks since for great thinker like us challenges is our food
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…