Heslb kwa continous students imefikia wapi?

bado, mi ni continous niliomba loan board walileta majina baadhi ambay hayakuonesh kiasi cha fedha walisema ambae hajaona jina lak amfuate muwakilishi wa loan board chuon hapa uoa,ili atoe taarifa.Sema jina langu lipo tunasubil alloctn.
 
Majina yametoka lini sory upo chuo gani?
 
Siku Nyingine Uwe makini unapotaka kuandika Kabla ya Ku post, Wewe kama ni Mwanachuo tena Chuo kikuu kuandika "continous students" ni aibu. ulitakiwa Kuandika "Continuing Students"
By The way Tukija kwenye Mada,yaani hujaeleweka Unamanisha nini unaposema Heslb wamefikia wapi,sasa wamefikia wapi kuhusu nini? Elezea tujue ndo usaidiwe.
 
sasa kumbe umeelewa unachojishaua nn mbona wengine wamejibu kama huna comment ya maana ni nonsense kaa kimyaa alaaaaaaa.
 
Nyooooooo.....ko
 
Acha kujifanya unajua! Kumbe mshamba tuh! Unajifanya unajua lugha za watu! Ngulldoza weweeee!
 
Kwahyo yametoka kwenye baadh ya vyuo!! maana chuon kwe2 cjaona majina wala mfano wa majina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…