Kweli 2na kila sababu ya kuhoji,tatizo kubwa heslb wanafanya mambo kwa mazoea,wanapenda sana kujifungia na kufanya judgement,mbona elimu ni haki ya kila mtu so yanini kuwanyima haki watz ya kikatiba ya kupata hbr? Kwanin munapenda kunyooshewa vidole kila mara au mwazani mtapata popularity? Kwanin wanafunz wawaseme ndo mkumbuke majukumu yenu kwa nin?hv kweli board hii inaongozwa na watz wazalendo kweli,kama ndiyo mbona hatuoni hata robo ya uzalendo huo?!!!,jaman nakumbuka kipindi kimoja mh martha mlata na kamati yake ya huduma za jamii alisema mwaka huu hakutakuwa na maudhi yoyote coz wametembelea bodi na kujionea matatizo so serikali(ccm) itafanya mabadiliko makubwa mambo yote yataenda kwa wakati vp martha mbona cvyo?dr kawambwa kasema bungeni eti mwaka huu wamepata mwarobain wa matatizo ya bodi mbona mh sivyo? Jaman wazir wa fedha katangaza mabilion meng ya wanafunz elimu ya juu mh vp kweli mumeshawapa cheque board na hazina yako? Duuu kweli tz 2na kazi kubwa sana ya kuleta maendeleo physically na mentally,ok fine basi mh waziri wa elimu kivuli vp kaka ww unasemaje kuhusu hili may be kauli yako inaweza toa njia kwa watoto wa masikin waliotumbua macho helsb wakisubir kodi zao wanazolipa kila siku ziwarudie kwa njia ya mkopo,
tutafika tu