HESLB loan refund: Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi japokuwa nilikamilisha hatua zote

HESLB loan refund: Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi japokuwa nilikamilisha hatua zote

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Tunaishukuru Serikali kuondoa adhabu kwenye deni la bodi ya mikopo elimu ya juu.

Kuna waliorejesha na kupitiliza, wanahitaji kurejeshewa kiasi kilichozidi baada ya kulipa deni.

Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi, japo nilikamilisha hatua zote za "loan refund"

Naomba ufanunuzi wahusika, JF hamkosekani.
 
Boss nipe taratibu za refund wamezidisha Mil 1.6 kunikata.
 
Boss nipe taratibu za refund wamezidisha Mil 1.6 kunikata.
Unaingia kwenye website yao,kuna link ya refund humo,unajaza na kusubmit
Msome hapo No #4
 
Subira yavuta kheri, system inajua kuchukua tu, haijui kurejesha..
 
Nilizidisha laki moja na elfu tano nimewaachia waile wakipenda
 
Back
Top Bottom