HESLB maombi awamu ya pili

HESLB maombi awamu ya pili

Glisten

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
301
Reaction score
22
Naomba kujuzwa jamani kama HESLB safari hii watakuwa na awamu ya pili ya maombi ya mikopo 2014/15
 
kwani awamu ya kwanza deadline ilikua lini?
 
Daahh sijui itakua lini mana wengine tumbo joto kwakweli
 
Kwanii hamkuapply toka mara ya kwanza na wakati muda wa kutosha tu ulitolewa?
 
Inaweza ikawa ndo imekula hivyo ..maana mda upo so limited kuruhusu second application
 
Serikali hii sijui kama wanajua wanachokifanya! hivi inaingia akilini mtu aaplly chuo na mkopo huku matokeo hana!

Ama ndo kusema mwaka huu wote watafaulu? na ikumbukwe walengwa haswa ni hao wanao subiri matokeo.
 
serikali hii sijui kama wanajua wanachokifanya!hivi inaingia akilini mtu aaplly chuo na mkopo huku matokeo hana!ama ndo kusema mwaka huu wote watafaulu?na ikumbukwe walengwa haswa ni hao wanao subiri matokeo



hapo ndipo waebrania 11:1 inapotumika. Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
 
hapo ndipo waebrania 11:1 inapotumika. Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

Sijui wenzao kipindi wana apply walikua wapi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Serikali hii sijui kama wanajua wanachokifanya!hivi inaingia akilini mtu aaplly chuo na mkopo huku matokeo hana!ama ndo kusema mwaka huu wote watafaulu?na ikumbukwe walengwa haswa ni hao wanao subiri matokeo

kazi tunayo na serikali yetu
 
Yaan matokeo hayana huusiano na kuomba mkopo labda kama wewe ujiamini kama uwez kufauru.
 
Yaan matokeo hayana huusiano na kuomba mkopo labda kama wewe ujiamini kama uwez kufauru.

Labda si necta hii ya TZ ilivyo ya hovyo,unafanya mtihani na hujui kitakachofata kwa kuzingatia waliopita na kujidai wanajiamini nai hatimai kuja kuyakataa matokeo yao
 
Muda umesha ongezwa Mpaka july 31 2014.kama haukuaply Kama mm xaxa muda ndo huu,Nawapongeza xana heslb KWa hili
 
Back
Top Bottom