heslb,mchujo wa kibaha vipi?nn kinafuatia 2juzane ma interview lini

wenye updates please tujuzane
 
Mbona tumeshaanza kazi toka 1st december 2011?
 
Wametoa ushindi mezani tayari. Hata kama ukiitwa itakuwa kukamilisha ratiba. Poleni sana wadau.
 
hahahahahaha mm kuna jamaa yangu kashaanza kazi, hakutuma wala application, baba yake yupo TCU ni mkubwa flani iv pale, hahaha hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo, pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…