faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
Kiukweli selikali yetu imeshindwa
kutambua umuhimu wa elimu, na
kushindwa kutambua kua elimu
ndio nguzo ya kulikomboa taifa
letu, kiukweli katika sector ya
elimu ni uozo mtupu, tukiangalia
katika bodi ya mikopo
inayowafadhili wanafunzi wa
elimu ya juu yaani {vyuoni}
kinachofanyika ni udanganyifu,
dhuruma, wizi, na kutowapa
wanafunzi haki zao tukiangalia
mwaka wa 2013 wanafunzi
takribani zaidi ya 23000
waliochaguliwa kujiunga na vyuo
vikuu mwaka huu wamekosa
mikopo kwa ajili ya kuwawezesha
kusoma elimu ya juu, hawa ni
watanzanzia na wengi wao ni
maskini wa kutupwa. Kiukweli
tunaandaa taifa lenye mpasuko
mkubwa maana kwa hali ya
kawaida haingii kichwani et bilion
306 zilizotengwa eti zimeisha na
kwanza walisema watatoa mkopo
kwa wanafunzi 35,000 na mikopo
wametoa kwa wanafunzi 29750
je idadi iliyobaki hela zimeenda
wapi, sasa ivi kinachofanyika ni
siasa kwa sababu ukiangalia
vigezo vyao wanavyotumia kutoa
mikopo ni kama course yako ni
priority, kama ni yatima, au hali ya
nyumbani sio nzuri wengi
wamenyimwa mikopo ili hali
vigezo wametimiza na wengine
wamepata mikopo ili hali vigezo
hawajatimiza vigezo vya kupata
mkopo. "Dah inauma sana eti kisa
mtu kasoma private school ndo
nimenyimwa mkopo wakati
wazazi wangu wanakopa kopa ili
nisome aya bwana". Hawa vijana
wakaanza kufatilia ni vipi
hawajapeta mkopo ambao ni kodi
na shiling za wazazi wao mbaya
zaidi wamekua wameambulia
majibu ya kufedhehesha,
walipoenda HESLB waliambiwa
pesa zimekwisha, waliopata
wamepata na waliokosa imekula
kwao. Kama hawajaridhika na
majibu wakaenda wizarani napo
wakakutana na jamaa fulani
anajiita MULUGO, aliwaambia
kauzeni kondoo na mbuzi zenu
msome, wakaamua kujisogeza
kwa wazili mkuu, hapo napo
walifukuzwa baru ndala mkononi
na walinzi basi tukaamua twende
kwa baba ridhi 1 kikwete sasa
sijui kilitokea nini, huyu bwana
COSMAS MWAISOBWA msemaji wa
bodi ya mikopo na data zake
anastahili adhabu adhabu kwa
kulidanganya taifa na mh.
MULUGO, walidanganya kua 94%
wamepata mkopo ambapo ni
uongo kiukweli inauma sana
kuona nchi yetu inawanyima
watu wake haki ya msingi,
kiukweli inakatisha sana tamaa
maana watu wameshakata tamaa
na kusoma coz maisha ya chuo ni
magumu na yanaitaji pesa, yani
watu walitupia pesa yao kufanya
application ya loan zaidi ya 40,000
mwisho wa siku unaambulia NOT
SECURED kiukweli inabidi wawape
wanafunzi mikopo ili iwawezeshe
maana unakuta mwingine
kapewa 100% wengine
wamepewa NIL.... Inakatisha
tamaa. Afadhali umpe mtu 0%
kuliko Nil nina mengi sana ya
kuzungumzia kuhusu hawa heslb
ila ngoja niishie apa nkiwa kama
muhanga wa waliokosa mkopo
faraji wa kitaa mtanashati.....
kutambua umuhimu wa elimu, na
kushindwa kutambua kua elimu
ndio nguzo ya kulikomboa taifa
letu, kiukweli katika sector ya
elimu ni uozo mtupu, tukiangalia
katika bodi ya mikopo
inayowafadhili wanafunzi wa
elimu ya juu yaani {vyuoni}
kinachofanyika ni udanganyifu,
dhuruma, wizi, na kutowapa
wanafunzi haki zao tukiangalia
mwaka wa 2013 wanafunzi
takribani zaidi ya 23000
waliochaguliwa kujiunga na vyuo
vikuu mwaka huu wamekosa
mikopo kwa ajili ya kuwawezesha
kusoma elimu ya juu, hawa ni
watanzanzia na wengi wao ni
maskini wa kutupwa. Kiukweli
tunaandaa taifa lenye mpasuko
mkubwa maana kwa hali ya
kawaida haingii kichwani et bilion
306 zilizotengwa eti zimeisha na
kwanza walisema watatoa mkopo
kwa wanafunzi 35,000 na mikopo
wametoa kwa wanafunzi 29750
je idadi iliyobaki hela zimeenda
wapi, sasa ivi kinachofanyika ni
siasa kwa sababu ukiangalia
vigezo vyao wanavyotumia kutoa
mikopo ni kama course yako ni
priority, kama ni yatima, au hali ya
nyumbani sio nzuri wengi
wamenyimwa mikopo ili hali
vigezo wametimiza na wengine
wamepata mikopo ili hali vigezo
hawajatimiza vigezo vya kupata
mkopo. "Dah inauma sana eti kisa
mtu kasoma private school ndo
nimenyimwa mkopo wakati
wazazi wangu wanakopa kopa ili
nisome aya bwana". Hawa vijana
wakaanza kufatilia ni vipi
hawajapeta mkopo ambao ni kodi
na shiling za wazazi wao mbaya
zaidi wamekua wameambulia
majibu ya kufedhehesha,
walipoenda HESLB waliambiwa
pesa zimekwisha, waliopata
wamepata na waliokosa imekula
kwao. Kama hawajaridhika na
majibu wakaenda wizarani napo
wakakutana na jamaa fulani
anajiita MULUGO, aliwaambia
kauzeni kondoo na mbuzi zenu
msome, wakaamua kujisogeza
kwa wazili mkuu, hapo napo
walifukuzwa baru ndala mkononi
na walinzi basi tukaamua twende
kwa baba ridhi 1 kikwete sasa
sijui kilitokea nini, huyu bwana
COSMAS MWAISOBWA msemaji wa
bodi ya mikopo na data zake
anastahili adhabu adhabu kwa
kulidanganya taifa na mh.
MULUGO, walidanganya kua 94%
wamepata mkopo ambapo ni
uongo kiukweli inauma sana
kuona nchi yetu inawanyima
watu wake haki ya msingi,
kiukweli inakatisha sana tamaa
maana watu wameshakata tamaa
na kusoma coz maisha ya chuo ni
magumu na yanaitaji pesa, yani
watu walitupia pesa yao kufanya
application ya loan zaidi ya 40,000
mwisho wa siku unaambulia NOT
SECURED kiukweli inabidi wawape
wanafunzi mikopo ili iwawezeshe
maana unakuta mwingine
kapewa 100% wengine
wamepewa NIL.... Inakatisha
tamaa. Afadhali umpe mtu 0%
kuliko Nil nina mengi sana ya
kuzungumzia kuhusu hawa heslb
ila ngoja niishie apa nkiwa kama
muhanga wa waliokosa mkopo
faraji wa kitaa mtanashati.....