hizi mada za helsb na necta zimekataliwa humu nendeni kwenye vyombo husika huko helsb au necta humu hamna majibu sahihi!!1
nenda kachunfguze na wewe kila siku ni maswali ya helsb helsb helsb humu au necta necta humu je humu ndio sehemu husika watu hawasomi thread zilizopita wapate majjibu linadondosha mapost kibao humu chunguza utajua namaanisha niniNadhani siyo sahihi kuzema hivyo, mambo mangapi yanayoihusu serikali yameongelewa humu au kuna msemaji wa serikali ndani ya JF.