HESLB Mwanza mjirekebishe

HESLB Mwanza mjirekebishe

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.

Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.

Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda.

Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
 
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka.Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda. Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
Hiyo ofisi ya Mwanza kweli ni shida. Sijajua hizo statement wanazipika labda mi sielewi, sababu tunategemea ni online unaprintiwa unahakiki unaondoka. Muda mwingine mtandao haupo siku nzima na wamekaa tu. Kwa kweli wanachosha.
 
Usiteseke boss nenda kwenye website yao
https://olas.heslb.go.tz/olams/pre-applicant alafu nenda sehemu imeandikwa loan beneficiaries utalogin kwa namba ya form 4 kisha utaweza kuona statement zako in full...ukikaribia kumaliza unaweza kwenda ili wakupe barua ya kumaliza.
Ukiwa mfuatiliaji utatoboa usikate tamaa
 
Taasisi nyingi zina mifumo kwa sasa, no need ya kwenda kupanga foleni.
Mfano; bank statement saivi unavuta mwenyewe tu huhitaji kupanga foleni
 
Hiyo ofisi ya Mwanza kweli ni shida. Sijajua hizo statement wanazipika labda mi sielewi, sababu tunategemea ni online unaprintiwa unahakiki unaondoka. Muda mwingine mtandao haupo siku nzima na wamekaa tu. Kwa kweli wanachosha.
Yaani wahusika walione hili sawa statement utaenda online lkn je barua ya kumaliza makato nayo titaipata online? Muhimu wabadilike maana ile ni huduma.
 
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.

Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.

Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda.

Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
Hao ndo uluowaona ila waafrica ni makanjanja juu ya hii rasilimali muda
 
Hiyo ofisi ya Mwanza kweli ni shida. Sijajua hizo statement wanazipika labda mi sielewi, sababu tunategemea ni online unaprintiwa unahakiki unaondoka. Muda mwingine mtandao haupo siku nzima na wamekaa tu. Kwa kweli wanachosha.
Unazania ni kweli kuwa mtandao unasumbua? Jibu ni si kweli na kimsingi huwa wanajenga mzingira ya mteja ajiongeze kutoa rushwa.
 
Yaani we nae mpumbavu, huduma za kujifanyia mwenyewe online unaenda kujipangisha foleni, acha wakuweke hata saa 10 tu.
 
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.

Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.

Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda.

Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.

Mara Mwanza Mara Morogoro. Which is which???.
 
Wabongo waache tu, hatujui kutumia muda.
 
Yaani we nae mpumbavu, huduma za kujifanyia mwenyewe online unaenda kujipangisha foleni, acha wakuweke hata saa 10 tu.
Uko sawa mimi Mpumbavu wewe mwenye hakili hongera zako
 
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.

Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.

Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda.

Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
Umezungumza ukweli mimi nilienda hapo mwaka jana tangu asubuhi nilikuja kupata statement jioni na hapo imekosewa ikabidi niondoke tu kwa hasira niwahi gari ya kwenda sirari. Hawako serious na kazi, wanajisikia sana, hawana majibu yanayoeleweka. Lengo la HESLB lilikua zuri kuleta huduma karibu lakini kama unavyojua ofisi nyingi za umma ikiwemo hiyo huwa wanafanya kazi kwa mazoea emagine mtu ametoka Geita, Musoma au hata Bukoba anaamua kwenda kupata huduma branch ya kanda anapata majibu ya kipuuzi. Bodi ya mikopo shenzi sana.
JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom