Nazungumzia huduma inayotolewa na watu wa HESLB ofisi za Mwanza inasikitisha sana mtu unakaa zaidi ya masaa mawili hadi sita au nane.Sasa hii inapoteza muda wa wateja.Kama sijakuelewa
Pole mkuuNazungumzia huduma inayotolewa na watu wa HESLB ofisi za Mwanza inasikitisha sana mtu unakaa zaidi ya masaa mawili hadi sita au nane.Sasa hii inapoteza muda wa wateja.
Hiyo ofisi ya Mwanza kweli ni shida. Sijajua hizo statement wanazipika labda mi sielewi, sababu tunategemea ni online unaprintiwa unahakiki unaondoka. Muda mwingine mtandao haupo siku nzima na wamekaa tu. Kwa kweli wanachosha.Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka.Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda. Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
Yaani wahusika walione hili sawa statement utaenda online lkn je barua ya kumaliza makato nayo titaipata online? Muhimu wabadilike maana ile ni huduma.Hiyo ofisi ya Mwanza kweli ni shida. Sijajua hizo statement wanazipika labda mi sielewi, sababu tunategemea ni online unaprintiwa unahakiki unaondoka. Muda mwingine mtandao haupo siku nzima na wamekaa tu. Kwa kweli wanachosha.
Hao ndo uluowaona ila waafrica ni makanjanja juu ya hii rasilimali mudaOfisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.
Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.
Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda.
Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
Unazania ni kweli kuwa mtandao unasumbua? Jibu ni si kweli na kimsingi huwa wanajenga mzingira ya mteja ajiongeze kutoa rushwa.Hiyo ofisi ya Mwanza kweli ni shida. Sijajua hizo statement wanazipika labda mi sielewi, sababu tunategemea ni online unaprintiwa unahakiki unaondoka. Muda mwingine mtandao haupo siku nzima na wamekaa tu. Kwa kweli wanachosha.
Wasumbufu saanaUnazania ni kweli kuwa mtandao unasumbua? Jibu ni si kweli na kimsingi huwa wanajenga mzingira ya mteja ajiongeze kutoa rushwa.
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.
Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.
Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda.
Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
Uko sawa mimi Mpumbavu wewe mwenye hakili hongera zakoYaani we nae mpumbavu, huduma za kujifanyia mwenyewe online unaenda kujipangisha foleni, acha wakuweke hata saa 10 tu.
Umezungumza ukweli mimi nilienda hapo mwaka jana tangu asubuhi nilikuja kupata statement jioni na hapo imekosewa ikabidi niondoke tu kwa hasira niwahi gari ya kwenda sirari. Hawako serious na kazi, wanajisikia sana, hawana majibu yanayoeleweka. Lengo la HESLB lilikua zuri kuleta huduma karibu lakini kama unavyojua ofisi nyingi za umma ikiwemo hiyo huwa wanafanya kazi kwa mazoea emagine mtu ametoka Geita, Musoma au hata Bukoba anaamua kwenda kupata huduma branch ya kanda anapata majibu ya kipuuzi. Bodi ya mikopo shenzi sana.Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.
Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.
Waziri anayehusika na hawa watu wanahitaji kukumbushwa namna ya kulinda rasilimali muda.
Na kama wanatafuta over time basi wanaumiza Watanzania pasipo sababu.
Hakili ndio nini??Uko sawa mimi Mpumbavu wewe mwenye hakili hongera zako