Heslb na boom

Hesabu zinawasumbua,hyo milioni na laki nane ni kwa mwaka,na mwaka ni semestre 2,so kwa smsta ni laki 9,smsta ni siku 120,900000/120=7500
 
mkereketwa100 kabla hujadandia mambo ni vema kuchunguza kwa undani wake ndugu,usitoe watu akili kwa kitu usichokijua
 
Last edited by a moderator:
mkereketwa100 kabla hujadandia mambo ni vema kuchunguza kwa undani wake ndugu,usitoe watu akili kwa kitu usichokijua

Bodi hutoa boom kila miezi miwili,na huwa vyuo vinatoa makadirio ya semestre moja ambayo ni cku 120 so bodi wanaingiza boom kila aemetre mara 2,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…