HESLB na continuing students

HESLB na continuing students

Manembe

New Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Ni lin HESLB watatoa majina ya continuing students wanaoendelea na mikopo??
 
Ww 2rd year ndo kwanza unanuka ufirst year,amnaga majina,subir watatoa kwa wale ambao hamkuomba kupitia olas,lkn kama uliomba acha kuweweseka 2lia
 
Majina ya continous wanaoendelea kupata mikopa yameshatoka. Yamepelekwa vyuo husika ambako huko yamebandikwa kwenye mbao za matangazo na website ya chuo husika. Sina uhakika kama ni vyuo vyote wametoa hayo majina ila baadhi kama ardhi univ,muhas na vichahe vingine wamefanya hivyo. Jaribu kuangalia chuoni kwako kuhakikisha
 
MWUCE second na third year tushasain BOOM. MWUCE-The hom of humanity
 
MWUCE second na third year tushasain BOOM. MWUCE-The hom of humanity

home of humanity?ni mwuce niliosoma mimi karibu na kwa ma mkwe au? haupo serious wewe
 
TEKU tulisaini jana. Sema kuna watu wengi tu hawakuona majina yao, inabidi chuo kifuatilie.
 
Ni lin HESLB watatoa majina ya continuing students wanaoendelea na mikopo??

kwa continues majina yanabandikwa chuo chako husika.wamebandik majina ya continues student kutoka heslb ni habar za uhakika msiofu wadau.
 
Back
Top Bottom