Majina ya continous wanaoendelea kupata mikopa yameshatoka. Yamepelekwa vyuo husika ambako huko yamebandikwa kwenye mbao za matangazo na website ya chuo husika. Sina uhakika kama ni vyuo vyote wametoa hayo majina ila baadhi kama ardhi univ,muhas na vichahe vingine wamefanya hivyo. Jaribu kuangalia chuoni kwako kuhakikisha