HESLB na hadithi za sungura na fisi

aseenga

Senior Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
106
Reaction score
86
Watanzania kwa asili yetu ni wapole, na kwa muda mrefu viongozi na watawala wa idara mbalimbali za serekali wamekua wakitumia udhaifu huo kutuonea.Ni tangu jana kuanzia mkurugenzi wa bodi ya mikopo alipotangaza kutolewa kwa majina ya wanafunzi walopata mkopo lakini cha kushangaza mpaka hivi sasa ukiingia kwenye website yao hakuna mabadiliko yoyote. Swali la kujiuliza ni kwamba kulikua na sababu gani ya huyo muheshimiwa kutangaza hayo matokeo kabla ya kujipanga, je alitaka kumuonyesha either rais, waziri au wananchi kwamba yupo on tym or? tumeshachoka kusubiri hayo matokeo na vyuo vingine vimeshafunguliwa na watu wameshindwa kwenda kufanya registration coz of them. naishia hapa kwanza.:flypig:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…