Jaman majina ya waliochaguliwa kusoma ORDINARY DIPLOMA FOR SECONDARY EDUCATION yalitoka yamechelewa ila nacte wakatuelekeza kuwa tuombe mkopo wakati muda wa kuomba mkopo ulikuwa umeishapita .je waliotuma maombi muda muda umeisha pita maombi yao yatapokelewa na kufanyiwa kazi??????