HESLB news

mtaalam1

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
45
Reaction score
3
mambo ya heslb kimnya hamna cha tetesi wala news alert.
bora kusubiri halafu upewe mkopo kuliko kuwahi kutoka alafu unyimwe "huu ni wangu mtazamo wasomi msijenge chuki" na hata na Mtaalam1
 
Ahsante!!!
 
Thread yako imekaa kishambenga ...kama unatoa news toka Heslb njoo nazo za uhakika sio unavuruga atention za watu.
"dissapointing"...
 
mambo ya heslb kimnya hamna cha tetesi wala news alert.
bora kusubiri halafu upewe mkopo kuliko kuwahi kutoka alafu unyimwe "huu ni wangu mtazamo wasomi msijenge chuki" na hata na Mtaalam1

umeona eeeehh!
 
you guys why cant you relax!!!!!!!

Naona kwenda chuo kumewachanganya sana........

na wewe muanzisha thread ukiwa unaandika mada try to be as brief as you can!!!!!!
 
mambo ya heslb kimnya hamna cha tetesi wala news alert.
bora kusubiri halafu upewe mkopo kuliko kuwahi kutoka alafu unyimwe "huu ni wangu mtazamo wasomi msijenge chuki" na hata na Mtaalam1

nakufananisha na ngongonda! watch out meeeen!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…