HESLB ni janga la Taifa

HESLB ni janga la Taifa

Taured

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
805
Reaction score
684
Baada ya kuambiwa waoendoe 10% penalty na 6% kama VRF yaani huwezi amini balance ya Deni la heslb mwezi may na June 2021 inatofautiana kwa Shs 15/= tu wakati makato ya 15% kwenye basic salary yamebaki constant!

Ama kweli naanza kuamini kwamba hii board haina nia nzuri na watanzania maskini na naweza sema huu ni mradi pengine wa mtu! Rais naomba aingilie kati huu wizi wa wazi kabisa na kama watendaji wa board wameahindwa kazi Bora watoke tu kwa nini wanatubebesha mzigo huu?
 
Bodi lazima iende na watu awamu hii,maana si kwa madudu haya
 
HESLB, NSSF &co, NHIF, CWC n.k ni miradi ya watu kupiga pesa za walalahoi.
 
Duh hivi hao watu hawaoni hata aibu wakalinda vibarua vyao? Au wanadhani wamesoma peke yao?
 
Bodi hii iangaliwe ikiwezekana ifumuliwe watendaji ni wazembe Sana aisee.
 
Jana nilienda kuchukua loan balance kiukweli inapungua sema walichofanya wameondoa penalty na VRF za kuanzia mwezi wa 5 ila za kurudi nyuma kabla ya tamko la Rais ziko palepale.
Kuna baadhi wamekuta Deni limeisha na wanaidai board baada ya kauli ya Rais kuondoa 6% na 10% so nendeni mkapate statement mjue status zenu
 
Back
Top Bottom