HESLB remained being a new topic,TCU bye and have good time.

Heslb hawafai kabixa sasa wanasuburi nini wakat wao ndo walikuwa wa kwanza kuanza kurihusu applicants
 
Punguza hasira kaka,kumbuka walitoa majina ya watu waliokosea na mwisho ulikua juzi xo nahisi muda huu ndo wanamalizia kushughulikia yatupasa tuwe na subira waungwana kama ilivyokuwa kwa tcu...
 
Wise decision.... Great!!!!!!!
 
kushulikia majina 6000 waliokosea ni mda kidigo. kwa hiyo tuwe na subira.
 
Mi natafuta wa kunibeba tu wale wa udsm kama uko tayari nitalipia rum...please ni pm
 
Naomba tuiheshimu HESLB!! Wanaopost kejeli juu ya hii bodi hawajui watendalo.. Kuchelewa kwao ni kutokana na huruma walio nayo juu ya wale waliokosea kujaza fomu ambao wengine ni ndugu zetu,marafiki zetu na hata miongoni mwetu humu JF::
 
Heslb hawafai kabixa sasa wanasuburi nini wakat wao ndo walikuwa wa kwanza kuanza kurihusu applicants

Ulipokuwa sekondari ulisikia wanachuo wakigoma kisa loan board, sasa unaenda kuwa kinala wa migomo chuo kikuu pole yako
 
Mwacheni huyo anayelaumu heslb hajui alifanyalo, mpaka sasa bado kuna watu hawajaisha kufanya marekebisho kwenye fomu zao. Mi nimeenda jmosi pale nimekuta eti kuna watu wanabembeleza waruhusiwe kurekebisha kasoro zao richa ya kuwa muda umeshapita, so jamaa bwana bado wanahuruma sana wangeamua kuwanyima wote waliokosea
 
Kuwa wavumilivu,msifosi mambo wadau
da
 
Tutakuwa watu wa kulaumu mpaka lini,ni bora tuilaumu serikali na huu mpango wake wa jkt usioeleweka lkn sio idara nyeti kama hiz,haraka haraka haina baraka
 
kama vyuo vingi vinaanza
tar 12 basi hata wao wana akili,..watajitahidi kuwa ktk muda jamaa,tuwavumilie tu!!
 
Back
Top Bottom