Heslb hawafai kabixa sasa wanasuburi nini wakat wao ndo walikuwa wa kwanza kuanza kurihusu applicants
Punguza hasira kaka,kumbuka walitoa majina ya watu waliokosea na mwisho ulikua juzi xo nahisi muda huu ndo wanamalizia kushughulikia yatupasa tuwe na subira waungwana kama ilivyokuwa kwa tcu...
umevamia threadMi natafuta wa kunibeba tu wale wa udsm kama uko tayari nitalipia rum...please ni pm
kushulikia majina 6000 waliokosea ni mda kidigo. kwa hiyo tuwe na subira.
Heslb hawafai kabixa sasa wanasuburi nini wakat wao ndo walikuwa wa kwanza kuanza kurihusu applicants
najua dogo hizo ni harakati tu za kutafuta kubebwa kua uyaoneumevamia thread
Kuwa wavumilivu,msifosi mambo wadauMwacheni huyo anayelaumu heslb hajui alifanyalo, mpaka sasa bado kuna watu hawajaisha kufanya marekebisho kwenye fomu zao. Mi nimeenda jmosi pale nimekuta eti kuna watu wanabembeleza waruhusiwe kurekebisha kasoro zao richa ya kuwa muda umeshapita, so jamaa bwana bado wanahuruma sana wangeamua kuwanyima wote waliokosea