HESLB + TCU+VYUO-APPLICANTS=complaints

dodoso

Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
41
Reaction score
8
mnalalamika nini ndugu zangu? unatangaza kuwa una kuku 100 ambao hawajaanguliwa kumbe mayai yenyewe viza, waacheni wafanye kazi zao muda ukifika tutajua kama tuna kuku au la, tusipotoshane kwa vyanzo hewa na kusabishiana matatizo, ona sasa mdogo wangu Perry tangu juzi hajala kisa HESLB, leo kalazwa hospitali na vipimo havionyeshi ugonjwa wowote. acheni jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…