witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
HESLB leo wametoa taarifa kuwa kesho watatoa majina ya watu 1107 watakaopatiwa mkopo hawa ni kati ya wale ambao form zao awali zilikuwa na dosari hivyo taarifa zote kuhusu jinsi gani ya kurekebisha wataweka kwenye mtandao wao na watatoa kwenye vyombo vya habari ili kwa yule ambaye course yake ni priority na form yake ilikuwa na dosari itabidi afanye marekebisho haraka na kama hatafanya hizo pesa atapewa mtu mwingine mwenye sifa ,source joyce mgaya nilipofika ndani ya jengo la HESLB,God may bless you juu ya hili