Heslb tenaaaaaaa!

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
HESLB leo wametoa taarifa kuwa kesho watatoa majina ya watu 1107 watakaopatiwa mkopo hawa ni kati ya wale ambao form zao awali zilikuwa na dosari hivyo taarifa zote kuhusu jinsi gani ya kurekebisha wataweka kwenye mtandao wao na watatoa kwenye vyombo vya habari ili kwa yule ambaye course yake ni priority na form yake ilikuwa na dosari itabidi afanye marekebisho haraka na kama hatafanya hizo pesa atapewa mtu mwingine mwenye sifa ,source joyce mgaya nilipofika ndani ya jengo la HESLB,God may bless you juu ya hili
 
Heslb washatoa majna yao ya marekebshooo hambao ha2kukosea bado ni majanga
 
inabidi sie tulioandikiwa budget exhausted ndo hatumo kabisa
 
Majina yaliwekwa kuanzia jana ila leo mchana yameondolewa tarh 24oct.wanadai system ina matatzo,hvyo basi tuweni na subira.
 
watoe kwanza mkopo kwa wale waliotimiza vigezo wakakosa.
 
Wadau hivi mtu ukiwa umepata mkopo Heslb haiwezi kusitisha mkopo wako ukiwa unaendelea (mwaka wa wapili na tatu)paka utakapo hitimu chuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…