Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
mmh, naogopa badilisha jina kwanza.
hahahaaa unaogopa nn?
sasaaa kuna wengine vyuo vinafunguliwa tareh 1 october kaama stefano moshi memorial university wakati majina yatatoka wiki ya 2 mwezi huo,je sio kuwavuruga wanafunzi hapo maana kuna wengine wanasubiria wapate mkopo kwanza ndo wawe na uhakika wa kwenda vyuoni...NAWASILISHA HOJA
sawa ina maana kuwa bodi haina habari za vyuo ama ni makusudi tu kuweza kutatua hilo tatizo mapema maana wanafunzi walio wengi wanategemea mkopo sasa bila kupata taarifa maalum ni ngumu kumfanya mwanafunzi awe huru kwenda chuo wakati hana uhakika wa mkopo
duh majanga sasa si nitakufa na njaa
Sasa hizi ndio taarifa wanazotakiwa kutoa wasomi, sio mnakurupuka tu pyeee! pyeeee!
Hongera mtaalam 1
jaman eti hela ya field pract and trainings huwa inatofautiana
coz kuna watu wana 620000 na mimi nina 130000 yani
sielewi wanaangalia kigezo gan kukupa hii hela!!!??