CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Jamani toeni loan allocation tuweze kujipanga kama mtu hakupata. Maana inaweza ikabidi mtu abadili kozi. Ni rahisi kulipa kozi ya 1.3 M kwa law UDSM, etc kuliko kulipa milioni tano medicine CUHAS, KCMC, IMTU etc. Naweza acha medicine kama sikupata mkopo.

Mkuu nakuunga mkono asilimia mia moja.Wanatakiwa watujulishe mapema ili mtu uanze kujipanga mapema kotokana na kiasi utakachopewa.Hii delay ni kero sana.
Hata kama kuna waliokosea sio sababu ya wao kushindwa kutoa loan allocation kwa wale waliokuwa hawana makosa kwenye form zao.Mbona TCU wametoa selection japo kuna wengine walitakiwa kurekebisha taarifa zao.
KWA HIYO WEWE UNASOMA MEDICINE KWA AJILI YA MKOPO??? kwel hili janga la tcu..kumbuka M.D ni kipaj sio kutafuta pesa!!!! USHAUR..kama unauenda med kwa ajili ya loan ndugu umepote!!!
admitted....No we hujaelewa, napenda medicine na nimepata, lakini kama haina budi itabidi niiache maana sitaweza lipa hela kubwa. huwezi kwenda Med. kwa kutafuta mkopo, never on earth! Zipo kozi za hela ndogo lakini sio upendeleo wangu! Ualimu nigeliweza kwenda vizuri lakini sijapenda. Hata SUA BVM naqualify, lakini sipendi hiyo!
Jamani toeni loan allocation tuweze kujipanga kama mtu hakupata. Maana inaweza ikabidi mtu abadili kozi. Ni rahisi kulipa kozi ya 1.3 M kwa law UDSM, etc kuliko kulipa milioni tano medicine CUHAS, KCMC, IMTU etc. Naweza acha medicine kama sikupata mkopo.
to be honest sijui hali ya loan this yr itakuaje!!! tukumbuke sana ile mambo ya priorit and non priorit...afu ulivokua unajaza programs pale chin kabisa zile sehem unaweka tiki mbili....dah...sijui na sintajua mpaka watoe allocation za loan!!!!
Mmh wakubwa Hali bado ni tete i dont know what to do!??
Niulizeni mimi loan board nawajua vizuri sanah!! nilipata div . 1 form four nikapata div. 1 form 6..nilisoma shule za serikali o-level na a-level na mkopo wakaninyima na chuo nasoma kama kawaida!!! NARUDIA TENAH LOAN BOARD SIO WATU WAZURI!!