Heslb tunaomba tamko kwa wanafunzi wa mwaka wa pili

Heslb tunaomba tamko kwa wanafunzi wa mwaka wa pili

kicbo

Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Wkt bunge limekaa ilipitishwa hoja ya kuwaangalia upya wanafunzi waliokosa mikopo kwa mwako wa masomo 2012/13 na likaamuru bodi kuwaangalia upya wanafunzi wanaoendelea na masomo na likaja na hoja kwamba wanafunzi wote waliokosa mikopo watume tena upya. Lakini mpka leo hii nayaandika haya hakuna lolote linaloendelea na hatujui nini kinachoendelea, tulitegemea nasi angalau kufikiriwa maana pesa hakuna wazazi mambo hawako vizur kwa sasa na mpka sasa hata ada sijalipa nikitegemea walau bodi itanisaidia kupunguza mzigo huu lkn wako kimya. Sijui hatima ya maisha yangu ya chuo kwa sasa, tunaomba bodi itoe tamko kama pesa zetu tulizotengewa wamezihamishia kwa wa mwaka wa kwanza kufuta aibu watwambie tujue moja maana tumechoka kusubir. Mfano hapa Mzumbe walitusainisha majina lakini mwisho wa cku hatujui yale majina yameishia wapi? Bodi mna siri gani na second yr tunaomba mtufahamishe tatizo sis hatuitaji migomo ila haki yetu ni muhimu
 
nikwel mkuu kulikua hakuna sababu za kutangaza tuombe mara ya pili km kulikua hakuna hela watoe tamko kwa continues students wanampango gan na ss.
 
Poleni wote tuliokosa mkopo,mimi ni kiongozi wa lile kundi la watu thelathini na 32,tuliokutana na kamati ya maendeleo ya jamii ya Mwenyekiti Mh.Magreth Sitta kuomba na kuishinikiza serikali kutupatia ada ya chuo,tuliangaika sana wiki nne barabarani ila mwishowe ikatolewa bilion 3.1,huwezi amini na juhudi zote jina langu halpo kwa wategemewa wa mkopo,hivyo basi kwa moyo mpya nimeamua kuanzisha harakati nyingine ambayo itawashilikisha wakuu wa nchi hii hadi Mh.Rais,ninaimani sana bodi wanafanya mambo kinyume hawako kwa masilahi ya wanafunzi na umma wapo kwa masilahi yao,hivyo basi kwa yeyote anayejua kuwa suala la yeye kukosa mkopo kwake ni hujuma na hajalidhka na maamuzi ya bodi mfano kupewa sababu feki kama kumaliza shule miaka mitatu nyuma na sio kweli,kutuma fomu ya maombi bodi na yeye kuambiwa hajatuma na wakati una list ya EMS,kutukanwa na wafanyakazi wa bodi kwa aina yoyote ile tafadhali tuwasiliane kupitia 0712177649,tushrikiane kwa ili.HAKI INACHELEWESHWA ILA HAIDHULUMIWI.
 
Back
Top Bottom