witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
taarifa kwa wale ambao hamkufanya application mnapewa nafasi ya kufanya maombi kabla ya tarehe 06 november tatizo kubwa hapa hawajaweka taarifa hii ila ingia OLAS click watakuletea how to apply ,best wishes zaidi ni pm nitakupa msaada

embu weka link kakabinafsi nmeingia my google account kuna sehem ya loan alocation ni-ka-click hapo ndio nikakuta ho habari wametoa na utaratibu wa kulpia,how to apply al in al habari ndio hyo tumia fursa kama haukufanya application hapo awal
angalia fresh hyo taarifa ni ya lini