Abloodi
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 165
- 12
habari ni kuwa ,haya najina yaliyotoka niya wale wanafunzi wanaoenda first year mwaka huu,then yatafatiwa na majina ya wale wanafunzi wa chuo wanaopata mkopo lakini waliomba tena ili waboreshewe kiasi cha mkopo wanaopata ....alafu yatafuata majina ya wale ambao walikuwa wasoma bila mkopo kabisa hivyo waka apply upya.........
EVERYTHING GONNA BE OKEY
FROM TRUSTED SOURCE:amen:
EVERYTHING GONNA BE OKEY
FROM TRUSTED SOURCE:amen: