thank u God
Unashukuru Mungu watu kukosa ama!! sijakuelewa"/
habari ni kuwa ,haya
najina yaliyotoka niya wale wanafunzi wanaoenda first year mwaka
huu,then yatafatiwa na majina ya wale wanafunzi wa chuo wanaopata mkopo
lakini waliomba tena ili waboreshewe kiasi cha mkopo wanaopata ....alafu
yatafuata majina ya wale ambao walikuwa wasoma bila mkopo kabisa hivyo
waka apply upya.........
EVERYTHING GONNA BE OKEY
FROM TRUSTED SOURCE:amen:
sjamaanisha hvyo kaka bt namshukuru MUNGU nimepata pia waliokosa msikate tamaa blv me yah time wil come..so thr z no reason to frustrate and HESLB may reallocate ur names...