Heslb uozo mtupu...

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
260
Reaction score
76
habari..nimefika hapo ofisi ya mkopo tangia saa kumi na mbili na nusu asubuhi....ila daah hadi sasa no service yaan...
 
habari..nimefika hapo ofisi ya mkopo tangia saa kumi na mbili na nusu asubuhi....ila daah hadi sasa no service yaan...

pole ila mdau usiache kutuulizia sisi wa diploma ndo tumetoswa moja kwa moja au,nakutegemea sana mdau
 
Saivi kaja huyo mmama na waandshi wa habari tumeanza kikao upya
 
Vuta subira kaka kwan not secured means what while some1 has got priority course,we're waiting to hear frm you mr.
 
Jamani mungu awaongoze katika hili....

Poleni sana mliokosa mikopo,mungu ni mwema atawainua tu..
 
Saivi kaja huyo mmama na waandshi wa habari tumeanza kikao upya

All the best mdau, tunaamini mlioko huko mjini mtatuwakilisha nasi kimawazo kwa kuuliza na yale yanayotuhusu watu wa diploma za nacte na nyinginezo tuliochaguliwa priority courses
 
Wanacheza na maisha ya watoto wa maskini,ni bora wawape ata kidogo
 
Yani kama pesa ni ndogo angalau tungegawana hizo hizo kuliko kutotupa kabisaa


Wallahi mi inaniuna sana sana,nionapo haya madudu ya heslb.....

Nimesoma seminary kuanzia nursery,primary,o'level...
Dingi,maza wote wasuper,alafu nimevuta 100%,at the same time kuna mtoto wa kabwela anachezea kitu cha "not secure"

HESLB ni useless,hawana ufanisi
 

emu waambie hao heslb wakutoleee uwe unapata boom tu iyo nyingine wampe uyi kabwela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…