Heslb vifo

Heslb vifo

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
JAMANI HALI SIO HALI KWA MATOKEO YA HESLB HADI SASA WATU 5 WAMEPOTEZA MAISHA KWA 7B YA KUKOSA kuna mmoja ni mwanafunz wa Mirambo,Lugoba sec(2),Ngaza girls na Kibiti yote ni matokeo ya heslb na walchaguwa kusoma Education kulngana na hal zao lakn hatima yake hawajapata k2 kutoka heslb kuna girls wawil wamefark kwa mxhtuko wote 2lkuwa internet cafe baada ya majb waljkuta wakdondoka chn na kupoteza maixha yao hawa 3 n boys nae mmoja kafa 7b pressure baada ya Tokeo na 2 wamejiua na vyuo walvyokuwa waende ni SAUT-MBEYA CENTRE(1),MKWAWA(2),UDOM(1),ECKERNOFORD(1) LENGO KUONYESHA HALI ILIVYO MBAYA KUFKIA MTU KUJIUA 7B HANA NJIA NYINGINE NA ALITEGEMEA ATAPATA KULINGANA NA MAELEKEZO YA TCU(PRIORITY) NAOMBENI TUUNGANE KUWAPA USHAURI HAO WALIOKOSA BILA HIVYO TUTAPOTEZA WENGI ZAIDI UKIACHILIA KIFO,KUNA UCHIZI,MAKUNDI MABAYA,NA HATA KUCHUKIA NCHI YAO HATA KUFKIA HATUA WANATUMIWA NA WATU WABAYA LEO KUNA AL-SHABAAB ,M23 NI RAHISI KUMCHUKUWA WAPENI USHAURI KAMA KUNA KU-APPEAL WAPE UTARATIBU WA KUFUATA MHURUMIE MWENZAKO,,end
 
Picha please or any evidence.
 
Usidanganye watu na story za kutunga kisa umekosa mkopo piga moyo konde tuliza mawazo apeal unaweza pata.
 
Ile dhana ya kuongeza kiasi cha pesa ili kila mtu apate mkopo iliishia wapi? WIZI MTUPU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sikuwa na uwezo wa kuchukuwa picha kulngana na uwezo wa simu yang pia even me nlchanganykiwa 7b nmekosa iwapo ni Education xo mambo yako hivyo inakera sana 7b kuna wengine n yatima kabisa hana hata mtu wa kumpa 50000 leo imekuwa hivyo bnafx hata me nmeumia xana but nw nafklia hao waliondoka Dunia 7b heslb
 
kamwe comment zang cjawah kuandka upuuz humu nahexhm xana hii sehem nmepata Elim kubwa kuptia jf na hata tokeo lang awal nlpata kuptia wadau wa jf na nkaomba nipew alternative nn nifanye il ni-appeal xo cwez kubuni story
 
info hizo ni kwa mujibu wa source ipi ya kuaminika?
ILa kiukweli Inashtusha sanaaa!
 
sikuwa na uwezo wa kuchukuwa picha kulngana na uwezo wa simu yang pia even me nlchanganykiwa 7b nmekosa iwapo ni Education xo mambo yako hivyo inakera sana 7b kuna wengine n yatima kabisa hana hata mtu wa kumpa 50000 leo imekuwa hivyo bnafx hata me nmeumia xana but nw nafklia hao waliondoka Dunia 7b heslb

Haupo Facebook we dogo andika kwa kirefu, wote hapa si watoto wenzio
 
jaman 2kio litmetokea xo cjui hata nifanyeje il buddy waelew but Kama ungepata Bahati ya kwenda Tumbi hospital KIBAHA-PWANI ungepata kuwaona b'coz hawa girls 2 wamepelekwa pale baada ya ile hal
 
ndio hivyo mkuu mambo c mambo unaxhndwa hata ufanye k2 gan na chuo unakkoxa miaka yote unahangaika shule zetu za kata unakomaa na taa ya cheml il ufkie malengo leo hii inakuwa matatzo na kukomaa kote
 
R.I.P ndugu zetu.
Mkuu weka namba zako tuiweke habari kwenye media Wasababishaji waione.
 
JAMANI HALI SIO HALI KWA MATOKEO YA HESLB HADI SASA WATU 5 WAMEPOTEZA MAISHA KWA 7B YA KUKOSA kuna mmoja ni mwanafunz wa Mirambo,Lugoba sec(2),Ngaza girls na Kibiti yote ni matokeo ya heslb na walchaguwa kusoma Education kulngana na hal zao lakn hatima yake hawajapata k2 kutoka heslb kuna girls wawil wamefark kwa mxhtuko wote 2lkuwa internet cafe baada ya majb waljkuta wakdondoka chn na kupoteza maixha yao hawa 3 n boys nae mmoja kafa 7b pressure baada ya Tokeo na 2 wamejiua na vyuo walvyokuwa waende ni SAUT-MBEYA CENTRE(1),MKWAWA(2),UDOM(1),ECKERNOFORD(1) LENGO KUONYESHA HALI ILIVYO MBAYA KUFKIA MTU KUJIUA 7B HANA NJIA NYINGINE NA ALITEGEMEA ATAPATA KULINGANA NA MAELEKEZO YA TCU(PRIORITY) NAOMBENI TUUNGANE KUWAPA USHAURI HAO WALIOKOSA BILA HIVYO TUTAPOTEZA WENGI ZAIDI UKIACHILIA KIFO,KUNA UCHIZI,MAKUNDI MABAYA,NA HATA KUCHUKIA NCHI YAO HATA KUFKIA HATUA WANATUMIWA NA WATU WABAYA LEO KUNA AL-SHABAAB ,M23 NI RAHISI KUMCHUKUWA WAPENI USHAURI KAMA KUNA KU-APPEAL WAPE UTARATIBU WA KUFUATA MHURUMIE MWENZAKO,,end

habari hii ina vigezo vyote vya kutungwa
 
Kiukweli board imefanya kazi yake,
Lakin tujaribu kuwa na imani Kuwa kilichotokea ni mipango ya M/MUNGU kwani yeye ndiyo mpangaji wa kila jambo, pili hivyo embu tumuamin M/MUNGU Kuwa wote tutasoma kama alivyopanga M/MUNGU, kwani alimvusha MUSA ktk bahari pasina ya boti, meli, mtumbwi wala ngalawa, hivyo basi tutasoma c kwa heslb Bali kwa alivyopanga M/MUNGU.
NAWATAKIA MASOMO MEMA
 
Achaa kuleta utumbo huku wew mtu ajiue kisa mkopo?we kama ni presha za kukosa c utulizane hukoo c kutunga story..hii kamdanganye mtoto mwenzio
 
Usife moyo kijana,jipange tu,mbona watu kibao wanasoma bila mkopo na mambo yao yanaenda fresh 2.
 
Back
Top Bottom