Heslb vifo

mkuu embu weka authorised source ya hii taarifa, jana magazeti mawili yalifungiwa kwa taarifa za uzushi.
 
Duuh majanga kwel nahx chuo ndio bhac tena bnafx no any aternative
 
kweli wengi kipato chetu cha chini
 
yamefungiwa b'coz of autocratic rule co k2 kngine cha uongo n kp, police c wez hao wanaotembea na vchwa vya watu il wapate kula rushwa,wengine wanakamatwa na magunia ya Bangi TZ kuna ufedhul wa hal ya juu bnafx hawa heslb wamezngua xana tena na me huwa ctoi hadith n k2 reality
 
Poleni!
Angalia na wewe usije ukapiga panadol za kutosha ukatangulia mbele ya haki.inaonyesha kama una hasira sana! Kubwa la kufahamu ni kuwa watanzania waliobahatika kufika chuo kikuu hawafiki hata asilimia 5 ya idadi yote ya watz.hata hivyo maisha yanaenda na wengi wako njema kabisa!kwa hiyo kukosa mkopo msione kuwa ndio mwisho wa maisha! Tafuta altenatives za maisha!tumia elimu kidogo uliyoipata na ushughulishe ubongo wako!
 
R.I.P wale wote walioga dunia kwa kupgna kumshnda ADUI ujinga.
 
Taja majina kuna mwandishi anataka kufatilia taarifa hiyo,pia anaomba umtajie shule ulomaliza wewe na jinalo unaweza ukani PM
Na mawasiliano yake
 
Poleni sana mliokosa mikopo except for Flyn ryder wewe ukose 2 hufai hata kuionja raha ya boom.
 
Naomba futa uzi huu kabla sijakuumbua mwongo mkubwa wewe. Hivi umekuwa na chuki kiasi hiki mpaka unatunga uongo...wewe ni mchonganishi na hufai kuwepo humu aya futa uzi huu haraka na uombe radhi kwa kuupotosha umma.
 
Mmmmhhhhh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Makubwa, ni kweli wamefariki?
 
achaa kuleta utumbo huku wew mtu ajiue kisa mkopo?we kama ni presha za kukosa c utulizane hukoo c kutunga story..hii kamdanganye mtoto mwenzio

si kwmba ameleta utumbo.,,tuache utomaso usio na maana. Mm nimeshuhudia kw macho yangu wanafunzi wanne wakianguka netcafe baada ya kukosa mkopo na mwingine mpaka sasa ana drip hospital. Hali ni mbaya. Ila naomba tuwasaidie namna ya ku appeal
 
Wewe umeona!mimi cjaona sasa nitaamini kivipi#maneno yako c kama ya kwenye bible ambapo ninayaamini japo sikuyaona matukio yaliyoelezwa mule.....Bhado nina sita sita kuyaamini !j
 
buddy bhanaa imekuwa tena xhari civilisation kumbe bado kxa ww umepata bhac xawa,,but take pouwaa
 
buddy bhanaa imekuwa tena xhari civilisation kumbe bado kxa ww umepata bhac xawa,,but take pouwaa
La kuchukulia poa lipi wewe?
Umeandika vitu so serious afu unataka tukae kimya!!!
Tatizo mnadhani hamfahamiki huku kuna watu wanawafahamu zaidi ya unavyofikiria!!
Ni kweli humu we dare to take openly but even serious lies as if hivyo vifo vimetokea kweli!!?
Narudia tena futa thread hii na ukiri umepotosha umma heshima yako irudi.
Kapitie jamii forum rules usije rudia mambo haya!
 
si kwmba ameleta utumbo.,,tuache utomaso usio na maana. Mm nimeshuhudia kw macho yangu wanafunzi wanne wakianguka netcafe baada ya kukosa mkopo na mwingine mpaka sasa ana drip hospital. Hali ni mbaya. Ila naomba tuwasaidie namna ya ku appeal

Sio mambo ya kusema tuache utomaso.Sema limetokea mkoa gani na huyo aliyelazwa yupo hospitali gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…