HESLB vs CONTINUEOUS STUDENTS....

SURN

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
319
Reaction score
36
Jamani hawa heslb wametoa majina ya first year peke yake waliopata loans, sijaona majina ya continueous student(2nd,3rd and etc) ambao waliomba.je wameamua wa2potezee au watatoa tena baadae?
 
Jamani hawa heslb wametoa majina ya first year peke yake waliopata loans, sijaona majina ya continueous student(2nd,3rd and etc) ambao waliomba.je wameamua wa2potezee au watatoa tena baadae?

nazani tuzidi kuwa na subira mkuu je watajuaje kuwa unaendelea na masomo bila kielelezo kutoka chuoni nazani tusubiri vyuo vitakapo funguliwa
 
nazani tuzidi kuwa na subira mkuu je watajuaje kuwa unaendelea na masomo bila kielelezo kutoka chuoni nazani tusubiri vyuo vitakapo funguliwa. mbona 2liambatanisha barua kutoka chuo?
 
Ya ni kweli tuliambatanisha barua kutoka chuo lakini ile ilikuwa ni kama utambulisho,bt wanahisi mtu anaweza kuwa haendelei na masomo kutokana na kudisco hivo matokeo ni muhimu kudhihilisha kuwa unaendelea na masomo(barua itakayothibitisha hujadisco na unaendelea na masomo),CHA MUHIMU TUSUBIRI TUTAKAPO RUDI VYUONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…