Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ebana hio ishu ipo lakini co kwa UDOM cjui cc wa UDOM imekuaje kwa sababu mpaka sasa watu wa UD na MUM wameshapangiwa mikopo kwa watu wa continue xa cjui inakuaje hapa dom, nasikia kuna ishu ya kuandika majina kwa loan oficerkisha yaambatanishwe na matokeo yapelekwe bodi ndo tupangiwe, hio ishu itafamyika kesho, lakini nimeongea na mwanangu mmja wa UD ameniambia wao walifanya hivo na walipanga kuyapeleka hayo majina juzi lakini kabla hayo majina kuyapeleka bodi leo wametoa majina ya watu waliopata xo cjui utaratibu unakuaje hapo.