N mwez sasa tangu heslb ianze kutoa ahadi fake kwa serikal ya wanafunz kwamba majina ya field yapo tyr na yametumwa chuo haitosh tumeondoka bila kusain huku tukipewa maneno ya faraja kwamba pesa itaingia bila cc kusain. Daaa napata text kutoka wazir mkuu( udoso) kwa kuwa board imetoa ahadi za uongo basi uamuz uliotoka n raia wote Wa udom waliopo dar wakutane pale office za board wakinukishe mpk wahakikishe wanawapa majina na pesa zetu.ili tufanye field salama basi tunaiomba board itupe pesa zetu la sivyo itakuwa nomaa