N mwez sasa tangu heslb ianze kutoa ahadi fake kwa serikal ya wanafunz kwamba majina ya field yapo tyr na yametumwa chuo haitosh tumeondoka bila kusain huku tukipewa maneno ya faraja kwamba pesa itaingia bila cc kusain. Daaa napata text kutoka wazir mkuu( udoso) kwa kuwa board imetoa ahadi za uongo basi uamuz uliotoka n raia wote Wa udom waliopo dar wakutane pale office za board wakinukishe mpk wahakikishe wanawapa majina na pesa zetu.ili tufanye field salama basi tunaiomba board itupe pesa zetu la sivyo itakuwa nomaa
Poleni sana jamani, serikali sikivu ya chama tawala imesikia kilio chenu iko kwenye mchakato wa kutoa majina. Tupeni muda tunalishughulikia. Hayo ndio majibu mtakayopewa mkikutana na wajumbe wa board ya mikopo. Business as usual.
Sijui tatizo liko wapi je heslb hawajatoa hela kweli au chuo kimebana pesa zilizotolewa?
Tungekinukisha siku ile tulipokutana pale uwanjani mbona mambo yangekuwa mswano kabisa...