HESLB Wamenipatia mzigo

ANKO THOBIAS

Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
21
Reaction score
0
nashukru mungu kwa kuniwezesha kupata mkopo ingawa c mwing ntajinyima mie mtoto wa mkulima
THOMAS MALALE KATUNGE on fb
 
Jamani kesho ndo tunaelekea kwa mh.Rais kumalizia kipolo cha mpaka kieleweke,tumektana na uongozi wanaohuska tumeambiwa rais ametoka ameelekea pwani hvyo tukaambiwa kurudi kesho tarehe 10 alhamis saa tatu hasubuh.mnaombwa wote kufka na kuonyesha umoja we2.kama kuna unaemfahamu mfahamishe tafadhali, Nawasilisha
 
mpeni pongezi mwenzenu ana 'mzigo' wa miezi mitatu.
 
tukutfte fb ili iweje..! Acha ukilaza dgo wenzio tumelamba 100% hatuna mbwembwe kama ww
 
0 mtujulishe na sisi wa mikoani ila 2po pamoja wandugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…