heshima kwenu wana jf
ni wazi kuwa kila mmoja anajua kuwa ni wiki ya tatu tangu tuanze mafunzo kwa vitendo FPT lakini mpaka Leo hakuna dalili yeyote ya kupata pesa yetu huu siyo ungwana hata kidogo jamani
my take
ccm wameshindwa kazi pamoja na bodi ya mikopo kwa ujumla .