King Kalu G
Member
- Aug 23, 2012
- 12
- 1
Inatakiwa ifike wakat selikali itambue kuwa inapeleka elimu pabaya kutokana na vipaumbele(priority) wanavyoweka ili watu wapate mkopo na hiyo imepelekea wa2 wachague kozi ambazo hawana vipaji nazo na hiyo itampelekea m2 asifanye kaz kwa moyo wote kwa nini mctof kidogo kwa kla m2 ili m2 axome anachotaka