HESLB Watakumbukwa Academic 2013/14 na Mafunzo ya JKT

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,134
Reaction score
998
Wadau mie nimekosa mkopo HESLB na Course ni Civil Engrng sasa nahitaji soma ila ndo hivo nisaidieni nichangie Tuisheni fii. kwa kununua ramani (Archtectural drawing) ya residential house yenye 1.Masterbedroom 2.Sitting room kubwa ya seti mbili za sofa 3.Kitchen na store 4.Vyumba 2 kulala 5. Study room
 
Attachments

  • step 1.jpg
    251.4 KB · Views: 232
  • step 2.jpg
    284.6 KB · Views: 200
Hebu angalia vizuri hiyo bei hapo juu mbona hamna relation inauzwa au inakodishwa!!!!
 
Hebu angalia vizuri hiyo bei hapo juu mbona hamna relation inauzwa au inakodishwa!!!!

Mkuu gharama za kudesign nyumba ni kubwa sana, kupitia kwa registered archtect hivo mie nakupa fair tu coz ndo professional yang na kwmb uko huru kuperchase na kupata ushauri na usimsmizi ktk ujenzi wa jengo hili.
 
Mkuu gharama za kudesign nyumba ni kubwa sana, kupitia kwa registered archtect hivo mie nakupa fair tu coz ndo professional yang na kwmb uko huru kuperchase na kupata ushauri na usimsmizi ktk ujenzi wa jengo hili, usisite kunitafta kwa 0787 459 850,

acha utan kaka bei halisi ya raman ya hcho k2 na hyo uloitaja havishabiiani kabsa..kwa haraka haraka hiyo iko kwa kitu cha em moja na vipoint hv..maskin ya Mungu sema mi ndo hvyo 2nd kaka ila usihofu MUNGU atakusaidia
 
Uko sawa bt mchakato wa kutafta ada nikasome ndo soko linakuwa chini, km utakumbuka ATCL waliwahi kuuza ndege ya billion 3 yaani mabaki yake kwa elfu hamsini tu, hivi ndivyo ilivyo kweny uwanja wa vita kiuchumi hapa TZ ukiwa na shida.
 
jipe moyo kaka ipo day tutafika hatakama sio kesho pia nakushaur ujaribu kuapeal mkopo yawezekana ukafanikisha MUNGU akutangulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…